IQNA

Mtazamo

Msomi wa Lebanon: Shahidi Motahhari alipinga madai ya Wayahudi kuhusu umiliki wa Palestina

IQNA – Ustadh Shahidi Murtadha Motahhari, katika hotuba na maandishi yake, alipinga vikali upotoshaji wa historia kwamba eti ardhi ya Palestina ni milki...
Nidhamu Katika Qur'ani /7

Mtazamo wa Qur'ani kuhusu umuhimu wa kuepuka hofu katika nidhamu ya kihisia

IQNA – Mwenyezi Mungu amewahimiza watu waepuke hofu isiyo na msingi, kama vile kuwaogopa wengine, na ametuamrisha kuwa na Khashiya (unyenyekevu) kwake...
Hija na Umrah

Saudi Arabia yasema Kadi ya Nusuk itawezesha harakati za Mahujaji

IQNA – Saudi Arabia imezindua kadi ya Nusuk siku ya Jumanne, ikisema kwamba itawezesha harakati za Mahujaji wote katika maeneo matakatifu.
Aya za Qur'ani Tukufu katika kauli za Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu

Klipu | Nitakuitikieni

Mwanadamu ni mhitaji wa kila kitu. Je, tumuulize nani atukidhie mahitaji yetu na atuondolee matatizo tuliyonayo? Mwenyezi Mungu ambaye anajua mahitaji...
Habari Maalumu
Mvua kubwa yasababisha paa la Msikiti kuanguka Saudia + Klipu
Hali ya hewa

Mvua kubwa yasababisha paa la Msikiti kuanguka Saudia + Klipu

IQNA - Paa la msikiti katika Chuo Kikuu cha Mfalme Fahd liliporomoka kutokana na mvua kubwa iliyonyesha Jumatano jioni huko Dhahran, Saudi Arabia.
03 May 2024, 11:28
Qur'ani inaangazia nidhamu katika uumbaji ili kutuongoza kuelekea kwa Muumbaji
Nidhamu Katika Qur'ani / 8

Qur'ani inaangazia nidhamu katika uumbaji ili kutuongoza kuelekea kwa Muumbaji

IQNA – Qur’ani Tukufu inarejelea baadhi ya mifano ya nidhamu na utaratibu mkubwa katika uumbaji wa dunia ili kuwaalika watu kutafakari na kuwaongoza hadi...
02 May 2024, 17:54
Al-Jawahir ya Sheikh Tantawi  ni mapinduzi katika Tafsiri ya Qur'ani
Tafsiri ya Qur'ani

Al-Jawahir ya Sheikh Tantawi ni mapinduzi katika Tafsiri ya Qur'ani

IQNA – Sheikh Tantawi Jawhari alikuwa mwanazuoni mashuhuri wa Misri na mfasiri wa Qur’ani Tukufu ambaye kazi yake kuu ilikuwa Al-Jawahir fi Tafsir al-Quran...
02 May 2024, 17:40
Msomi: Uislamu unasisitiza kuhusu kulindwa haki za binadamu

Msomi: Uislamu unasisitiza kuhusu kulindwa haki za binadamu

IQNA – Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Ahl-ul-Bayt (AS) amesema Uislamu ni mtetezi wa kweli wa haki za binadamu zikiwemo za wanawake.
02 May 2024, 17:20
UN: Rafah isishambuliwe, Wapalestina Gaza wanasubiri kusitisha mapigano
Jinai za Israel

UN: Rafah isishambuliwe, Wapalestina Gaza wanasubiri kusitisha mapigano

IQNA: Wakati kukiwa na ongezeko la wito wa kimataifa kwa Israel kujizuia na mashambulizi zaidi Gaza na ripoti za Mei Mosi za mashambulizi mengine mabaya,...
02 May 2024, 17:30
Ujenzi wa Kituo Kipya cha Kiislamu, na Qur’ani kwa Wanawake waanza Qatar
Wanawake

Ujenzi wa Kituo Kipya cha Kiislamu, na Qur’ani kwa Wanawake waanza Qatar

IQNA - Operesheni ya ujenzi wa kituo cha Kiislamu na Qur'ani kwa wanawake ilianza katika sherehe nchini Qatar.
01 May 2024, 23:37
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu: Ghaza ndilo suala la kwanza kwa Ulimwengu
Kadhia ya Gaza

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu: Ghaza ndilo suala la kwanza kwa Ulimwengu

IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema Ghaza ndilo suala la kwanza kwa Ulimwengu.
01 May 2024, 18:02
Haram ya Hadhrat Abbas (AS) yanaanza tena vikao vya kila siku vya Khatmul Qur'an
Harakati za Qur'ani

Haram ya Hadhrat Abbas (AS) yanaanza tena vikao vya kila siku vya Khatmul Qur'an

IQNA – Haram Takatifu ya Hadhrat Abbas (AS) huko Karbala, Iraq imerejesha programu yake ya kila siku ya Khatmul Qur'an.
30 Apr 2024, 20:59
Maoni ya Waziri Mkuu wa Ufaransa yakosolewa katika Msikiti wa Paris
Waislamu Ufaransa

Maoni ya Waziri Mkuu wa Ufaransa yakosolewa katika Msikiti wa Paris

IQNA - Msikiti Mkuu wa Paris ulimkosoa waziri mkuu wa Ufaransa kwa matamshi yake ya hivi karibuni ya chuki dhidi ya Uislamu.
30 Apr 2024, 20:53
Chuo Kikuu cha Duke kuchunguza kitendo cha chuki dhidi ya Uislamu
Waislamu Marekani

Chuo Kikuu cha Duke kuchunguza kitendo cha chuki dhidi ya Uislamu

IQNA – Ofisi ya Maadili ya  Chuo Kikuu cha Duke nchini Marekani imeanzisha uchunguzi kuhusu uchafuzi wa mabango kuhusu mwezi wa Ramadhani,  jambo ambalo...
30 Apr 2024, 20:36
Wajumbe wa Msafara wa Qur’ani wa Hija wa Iran kuelekea Madina katikati ya Mei
Hija

Wajumbe wa Msafara wa Qur’ani wa Hija wa Iran kuelekea Madina katikati ya Mei

IQNA - Wanachama wa msafara wa Qur'ani wa Iran kwa ajili ya Hija mwaka huu wataondoka kuelekea Saudi Arabia Mei 15. Hayo yametangazwa wakati wa mkutano...
29 Apr 2024, 19:19
Kocha Mfaransa asilimu Algeria akiwa amevutiwa na mapambano ya Wapalestina
Wanamichezo Waislamu

Kocha Mfaransa asilimu Algeria akiwa amevutiwa na mapambano ya Wapalestina

IQNA – Patrice Beaumelle, kocha wa soka wa Ufaransa ambaye kwa sasa anaongoza timu ya Mouloudia d'Alger katika ligi kuu ya soka ya Algeria, amesilimu.
28 Apr 2024, 10:09
Mahaba ya Qari Mutawalli Abdul Aal wa Misri katika Kusoma Qur'ani Tukufu
Qiraa ya Qur'ani

Mahaba ya Qari Mutawalli Abdul Aal wa Misri katika Kusoma Qur'ani Tukufu

IQNA – Sheikh Mutawalli Abdul Aal Alikuwa qari mkubwa wa Misri ambaye alihifadhi shauku yake ya kusoma hadi siku za mwisho za uhai wake.
28 Apr 2024, 08:21
Vitendo vya kusikitisha vya kuvunjia heshima Qur'ani vyaendelea Uswidi
Chuki dhidi ya Uislamu

Vitendo vya kusikitisha vya kuvunjia heshima Qur'ani vyaendelea Uswidi

IQNA - Inaonekana hakuna nia nchini Uswidi ya kukomesha vitendo vya kuvunjia heshima Qur'ani Tukufu, vitendo ambavyo vimewasikitisha na kuwakasirisha Waislamu...
28 Apr 2024, 09:37
Maelezo kuhusu ukandamizaji wa wanafunzi watetezi wa Palestina nchini Marekani
Watetezi wa Palestina

Maelezo kuhusu ukandamizaji wa wanafunzi watetezi wa Palestina nchini Marekani

IQNA-Marekani ndiyo muungaji mkono mkubwa zaidi wa utawala wa Kizayuni wa Israel ambapo serikali ya Biden imetoa msaada mkubwa zaidi wa kijeshi na silaha...
28 Apr 2024, 07:56
Mikakati ya Qur'ani Tukufu kuhusu Nidhamu ya Kihisia
Nidhamu Katika Qur'ani /6

Mikakati ya Qur'ani Tukufu kuhusu Nidhamu ya Kihisia

IQNA - Ili kutusaidia kupanga hisia zetu na kuboresha nidhamu yetu ya kihisia, Qur'an Tukufu inawasilisha mikakati au stratijia zinazoweza kutumika.
27 Apr 2024, 14:40
Picha‎ - Filamu‎